johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anapenda sana sifaUyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Na wakati huo huo tena akarudi tena kuongoza nchi na kumkabidhi mama amalizie na kuleta vichwa huku documents zote akisaini yeye mwenyewe na bado yupo .madarakani mpaka sasaRais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
R
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Wahindi Wamefanya biashara gani hiyo? Nyinyi si ndio mnawaabudu posta?UOngo mtupu ndiye aliyeshirikiana na wahindi kuua reli yetu kisa biashara ya usafirishaji na mafuta
Usishabikie mkuu. Tuwaheshimu viongozi wetu. Kuna kesho bosi. Usione nchi zingine hazijatulia, tumshukuru Mungu kwa hekima za viongozi wetuUyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Ukiondoa ishu ya EPA na kuuza mashirika ya umma kwa bei chee.
Hakuna rais bora ktk nchi yetu kama Mkapa
kwani uuzwaji wa mashirika ya umma alikosea (Mkapa) wapi? mbona mengi leo yanafanya vizuri sana tu?