Mzee Kilomoni kama wewe ni mdhamini wa Simba mbona Rita hawana kumbukumbu zako?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Hakika napita shida kujua kwanini Mzee Kilomoni hakubali kuwa yeye si Mdhamini wa Klabu ya Simba.Nasema hivi kutokana na kauli ya RITA kuwa katika orodha ya Wadhamini wa Klabu ya Simba jina la Mzee Kilomoni halipo hivyo RITA hawamtambui Mzee Kilomoni.Hivi kweli Mzee Kilomoni hulijui hilo au unawadanganya wananchi ? Ni vema Mzee Kilomoni ukakubaliana na ukweli na kama sivyo basi fungua kesi Mahakamani kudai Udhamini wako ili kama uliondolewa kienyeji haki yako ipatikane vinginevyo Waache Viongozi wa Klabu ya Simba wachape kazi.
 
Kwani simba si walishatangaza kuwa wameshamuondoa kwenye wadhifa huo, lakini cha ajabu mbona kama bado ana watesa vile, hii imekaaje?? Mfanyakazi umeshamfukuza kazi lakini bado anafanya shughuri za kampuni tena bila kificho, wewe unabaki unasema tu huyo nilishamfukuza kazi bila, kumchukulia hatua stahiki!!??? Hapo kuna tatizo,
 
Huyo hafanyi kazi za kampuni ila analalamika kuvuliwa uanachama.
 
Kwani simba si walishatangaza kuwa wameshamuondoa kwenye wadhifa huo,???
Mkuu, watoto wako wakifukuzwa shule, kuna haja ya kutangaza kwenye vyombo vya habari tena? Rais akiteua mtu kushika nafasi ya uwaziri, ndo hivyo tena ujue aliyekuwapo ameondolewa, ataariwe au asitaarifiwe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huyo hafanyi kazi za kampuni ila analalamika kuvuliwa uanachama.
Sasa mbona bado hati ya simba original bado anayo, wakati ilishatolewa nyingine, kuwa hiyo ilipotea?! Na mbona majuzi alipotaka kuongea na waandishi wa habari, simba walitoa taarifa polisi kuwa atachafua hali ya hewa?!!
 
Siyo Simba waliozuia mzee kuropoka bali Polisi waliona hatari iliyokuwa mbele yake huyu mamluki kwani watu wana hasira naye sana. Haiwezekani ufanye mipango ya kuwakera watu zaidi ya milioni ishirini na ukabaki salama,hivyo Polisi walizuia mkutano ule kwa usalama wa kilomoni mwenyewe.
 
Sasa mbona bado hati ya simba original bado anayo, wakati ilishatolewa nyingine, kuwa hiyo ilipotea?! Na mbona majuzi alipotaka kuongea na waandishi wa habari, simba walitoa taarifa polisi kuwa atachafua hali ya hewa?!!
Hati amaachiwa Mzee Kilomoni akakopee au awauzie Yanga
 
Sasa mbona bado hati ya simba original bado anayo, wakati ilishatolewa nyingine, kuwa hiyo ilipotea?! Na mbona majuzi alipotaka kuongea na waandishi wa habari, simba walitoa taarifa polisi kuwa atachafua hali ya hewa?!!
Sasa na wewe kweli unatumia akili?
Wadhamini huwa wanasajiliwa Rita yeye jina lake halipo Rita bado anajita mdhamini. Sasa huyo mzee ana akili kweli.?
Yeye alikua anaficha karatasi la hati akijua kua ndo atashinda, Afu kibaha alikua anasema imepotea.bora angesema hataki kutoa.
 
Kitendo cha kusema zimepotea ndio kimewarahisishia Simba kutoa Loss Report na kupatiwa Hati nyingine ,Mzee ana akili kidogo sana.
 
Sasa na wewe kweli unatumia akili?
Wadhamini huwa wanasajiliwa Rita yeye jina lake halipo Rita bado anajita mdhamini. Sasa huyo mzee ana akili kweli.?
Yeye alikua anaficha karatasi la hati akijua kua ndo atashinda, Afu kibaha alikua anasema imepotea.bora angesema hataki kutoa.
Bora nyie mnaotumia akili, lakini mtu asiye tumia akili amewashika pabaya, anayeweza kujua kumbe zile asilimia 49,hazitakiwi kumilikiwa na kanjibai pekee!!! Na akisimama kutaka kuzungumza tu roho juu!!! Lakini ni kawaida ya praise team!! Huwa mnafuata upepo tu
 
KIBAHA?
Sasa na wewe kweli unatumia akili?
Wadhamini huwa wanasajiliwa Rita yeye jina lake halipo Rita bado anajita mdhamini. Sasa huyo mzee ana akili kweli.?
Yeye alikua anaficha karatasi la hati akijua kua ndo atashinda, Afu kibaha alikua anasema imepotea.bora angesema hataki kutoa.
 
Kwisha habari yake.
Screenshot_2019-08-07-10-12-24.jpeg
 
Back
Top Bottom