Mzee Kilomoni maswali yake makubwa ni haya.

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,643
Reaction score
3,301
1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba?

2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi?

3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye ndio Rais wa Club na yeye ndio anateua Mtendaji mkuu wa Timu ?

4.Na kwanini Mo awe mmiliki wa Timu kwa 49% ? huyu mwenye 51% ataitwa nani?

5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?

6.Kwanini Yanga waligoma kumkodisha Manji timu kwa bilion 30 kwa miaka 10 wakati Simba imekubali kuuza timu jumla kwa bilion 20 ambazo hata hazijulikani ziko wapi?
 
transparency ni muhimu sana hasa kwe timu za wanachama, lengo la imba kubaki na asilimia 51 ni wao kuwa wamiliki wa timu yao sasa km hayo ya kilomoni ya Mo kuchagua mtendaji kamani ya kweli basi yanahitaji ufafanuzi, lakn vp kauli ya waziri kuhusu hisa za asilimia 49 hazitakiwi kuwa za mtu mmoja ule ni mtazamo wake tu au kuna sheria inayosema hivyo
 
Siyo sheria ni kanuni ambazo waziri hata akioota usiku asubuhi anabadilisha ufala kabisa huu
 
1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba?

2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi?

3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye ndio Rais wa Club na yeye ndio anateua Mtendaji mkuu wa Timu ?

4.Na kwanini Mo awe mmiliki wa Timu kwa 49% ? huyu mwenye 51% ataitwa nani?

5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?

6.Kwanini Yanga waligoma kumkodisha Manji timu kwa bilion 30 kwa miaka 10 wakati Simba imekubali kuuza timu jumla kwa bilion 20 ambazo hata hazijulikani ziko wapi?
HUYU MZEE NAMUELEWA SANA
 
mabadiliko ni process hayawezi kuja kwa siku moja
roma haikujengwa kwa siku moja
hao wanao mtuma kilomoni watakuja kuaibika vibaya sana
sie yanga leo ligi haijaanza wachezaji wamegoma mpaka December akina bilinganya wote hao tutawasikia kwenye redio kuwa walikuwepo
 
Kilomoni njaa kali,hawa wazee wanatuelezea story ndefu kana kwamba hizo story zao ndefu sijui zitaisadia nini simba.

Wangekuja na mikakati hata kama wanapewa simba leo watafanya nini na kwa muda gani sio story ndefu porojo tupu.
 
Mo kamuweka Mkwabi bosheni..atakuja kugombea uraisi ndani ya mikia..mambo ya Florentine Perez Real Madrid..atakuwa analeta wachezaji kutoka India wote mtaufyata
Sijawahi kusikia mhindi mcheza mpira
 
Back
Top Bottom