babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Siyo sheria ni kanuni ambazo waziri hata akioota usiku asubuhi anabadilisha ufala kabisa huutransparency ni muhimu sana hasa kwe timu za wanachama, lengo la imba kubaki na asilimia 51 ni wao kuwa wamiliki wa timu yao sasa km hayo ya kilomoni ya Mo kuchagua mtendaji kamani ya kweli basi yanahitaji ufafanuzi, lakn vp kauli ya waziri kuhusu hisa za asilimia 49 hazitakiwi kuwa za mtu mmoja ule ni mtazamo wake tu au kuna sheria inayosema hivyo
HUYU MZEE NAMUELEWA SANA1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba?
2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi?
3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye ndio Rais wa Club na yeye ndio anateua Mtendaji mkuu wa Timu ?
4.Na kwanini Mo awe mmiliki wa Timu kwa 49% ? huyu mwenye 51% ataitwa nani?
5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?
6.Kwanini Yanga waligoma kumkodisha Manji timu kwa bilion 30 kwa miaka 10 wakati Simba imekubali kuuza timu jumla kwa bilion 20 ambazo hata hazijulikani ziko wapi?
Mimi ndio namuelewa vibaya sana,Mzee alisoma Middle School huyu.HUYU MZEE NAMUELEWA SANA
1.
Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba?
Anavitaka hivyo vyeo vyote ndio mana tumemshutikia mapema
Mimi ndio namuelewa vibaya sana,Mzee alisoma Middle School huyu.
Siyo sheria ni kanuni ambazo waziri hata akioota usiku asubuhi anabadilisha ufala kabisa huu
Si Facebook wala jamiiforums ambapo wanajibu hayo maswali zaidi ya kupiga kelele tu.Mzee inaonekana kawashika pabaya
Sijawahi kusikia mhindi mcheza mpiraMo kamuweka Mkwabi bosheni..atakuja kugombea uraisi ndani ya mikia..mambo ya Florentine Perez Real Madrid..atakuwa analeta wachezaji kutoka India wote mtaufyata
Huyu Mzee anawaacha mbali hata vijana waliograduate miaka hii
Sijaona mtu hata mmoja anajibu hayo maswali,jamaa wanakwama wapi?Mzee Kilomoni ana point muhimu ambazo haziwezi kujibiwa kwa njia za mkato.
Sijaona mtu hata mmoja anajibu hayo maswali,jamaa wanakwama wapi?