Pre GE2025 Mzee Kinana aliwaahidi CHADEMA kuwa Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa Huru na Haki tofauti na ule wa 2019

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka

Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa Magufuli

Ahsanteni sana 😄🌹
Nani mrithi wa Kinana CCM?
 
CCM hawawezi kuruhusu uchaguzi huru na haki, wanafahamu vizuri kabisa kwamba bila figusu mambo hayawezi kwenda vizuri
 
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka

Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa Magufuli

Ahsanteni sana 😄🌹
Hilo litawezekana tu,endapo ccm ya kizazi hiki hakipo tena.
 
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka

Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa Magufuli

Ahsanteni sana 😄🌹
KINANA SI SIHAFU TU ...KWANI MWANADAMU ROSTAM AZIZI KASEMA JE?
 
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka

Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa Magufuli

Ahsanteni sana 😄🌹
Kumbe uchaguzi wa uhuru na haki ni hisani ya Kinana na siyo takwa la kisheria?
 
A
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka

Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa Magufuli

Ahsanteni sana 😄🌹
Alimaanisha mama kushindwa uchaguzi ndio maana akapigwa chini!!
 
Kabisa

Ndio sababu Vyama Vyote vinashiriki uchaguzi
20241015_112539.jpg
 
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka

Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa Magufuli

Ahsanteni sana 😄🌹
Baada ya hapo akatimuliwa ccm!
 
Back
Top Bottom