ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937

Mzee Kipara hii ndio hali aliyofikia hivi sasa.
Mzee kipara ni msanii wa muda mrefu ambaye alikuwa katika sanaa ya maigizo kwa muda mrefu, kipindi cha hivi karibuni vyombo mbali mbali vya habari vilitoa hali ya afya yake.
Kwa sasa hali yake bado ni mbaya, napenda kuwakumbusha tena wasanii wote msimtupe mzee huyu na mnavyoendelea na vikao vyenu na BASATA pia muweze kumuongelea Mzee huyu, ili kwa pamoja na Serikali mumsaidie. Napenda kuwashukuru wale wote waliojitahidi kumsaidia kwa namna moja au nyingine ili kuweza kumfanya Mzee huyu ajisikie ana watu ambao wanamjali, Mungu atawarudishia.
MZEE KIPARA ANAHITAJI MSAADA WAKO.
Mzee Kipara Msanii Mkongwe.[FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif]KAMA Waswaili wasemavyo kuwa kutoa ni moyo, basi ni wakati wa kutimiza kauli hiyo kwa Mzee wetu Fundi Said ‘Mzee Kipara katika tasnia ya filamu na maigizo hapa nchini Mzee Kipara amefanya mengi ya kukumbukwa kwani alianza kuigiza toka muda mrefu, lakini pamoja na kufanya kazi kwa muda mrefu kwa sasa Msanii huyu hawezi tena kujimudu na kuendelea na kazi zake lakini pia ni mgonjwa.[/FONT]
[FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT][/SIZE][/COLOR]
[COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue][URL="http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/MZEE-KIPARA.jpg"][IMG]http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/MZEE-KIPARA.jpg[/IMG][/URL][/FONT][/SIZE][/COLOR][COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue]Mzee Kipara akijiuguza katika Kitanda chake.
[/FONT][/SIZE][/COLOR]
[COLOR=#0000ff][SIZE=3]
[FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif]Kwa kuliona hilo kampuni ya Global Publisher iliweza kumpa simu ajili ya matumizi ya M-PESA ili iweze kumsaidia kwa urahisi zaidi namba ya simu ni 0753 923454, tunaishukru kampuni hiyo ambayo imefungua njia ili Mzee wetu aweze kupata msaada kwa kuchangiwa na wasamaria wema, huku nikiamini kuwa suala hili pia litawagusa wasanii ambao ni wadau wakubwa katika Sanaa.[/FONT]
[FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif].[/FONT][/SIZE][/COLOR]
[COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue][URL="http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/Mzee-Fundi-Said.jpg"][IMG]http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/Mzee-Fundi-Said-300x276.jpg[/IMG]
[/URL][/FONT][/SIZE][/COLOR][COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue]Mzee Kipara siku za nyuma.
[/FONT][/SIZE][/COLOR]
[COLOR=#0000ff][SIZE=3]
[FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif]Pia ni wakti ambao vyama vya Wasanii vitumie ubunifu ili kuweza kuchangisha wadau mbalimbali katika kumsaidi Mzee Kipara katika ugonjwa unaomsumbua wa Miguu na suala la umri pia Mungu Mzee Kipara anahitaji msaada wako, pia tumshukru dada ambaye anamhudumia Kalunde ni msanii mwenye moyo sana basi ni vema tukamuunga mkono katika zoezi hili la kumsaidia Msanii mwenzetu, pengine itaonekana haina maana sana kila siku tukibuni sherehe kwa ajili ya kujifurahisha huku wengine wakiwa wamelala kwa kukosa hata fedha ya panadol. Kutoa ni moyo tumsaidie MZEE KIPARA.[/FONT][/SIZE][/COLOR]
[SIZE=3][COLOR=#0000ff][URL="http://www.filamucentral.co.tz/2011/09/mzee-kipara-anahitaji-msaada-wako/#respond"][FONT='Helvetica Neue']
[/FONT]
[/URL]Kwa hisani ya: KAPINGAZ
na
http://www.filamucentral.co.tz/2011/09/mzee-kipara-anahitaji-msaada-wako/