Mzee l.tenga ni mgao wa cancer ya matiti ama cancer ya mifuko

Mzee l.tenga ni mgao wa cancer ya matiti ama cancer ya mifuko

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa mliosikia vipindi vya michezo mchezo wa hisani kati ya simba an yanga wanadai mapato yatakayopatikana 10,per yatasaidia waliaothirika na cancer ya matiti..kama mnakumbuka kuna mechi kama hii ilichezwa na mwisho wale yatima
waliishia kulia na kulalamika awakupewa asilimia kumi kama walivyosema hizo enzi za ndolanga leo nasubiri tenga na kumuuliza hiyo mchango mnapeleka kwenye waliaothirika na cancer ya matiti ama cancer ya mifuko??
Nakumbuka na sitosahau mechi ya simba na yanga ilipoisha kama leo keshokutwa mha
mwakalebela akaenda showroom kununua gari fresh jamani tff kutamu asikwambie mtu mi nasubiri mh katibu boniface atakavyoondoka maana ameanza na kuongezeka vitambi gafla
mungu ibariki tanzani
 
Back
Top Bottom