Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Mkongwe wa JF kwa miezi mitatu, unaaita watu legendary wa JF wanafunzi wa kidato cha nne?

Jihurumie wewe

Mshana jr
 
Haaaaaaaahaaaaaaa ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo...aaaahhh maaaaamaaaaaaa nakufaaaaaaaa..
Mkuu iache akili yako ifanye kazi yenyewe usitumie nguvu,mamaaaa nakufaaaaaa
 
Haaaaaaaahaaaaaaa ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo...aaaahhh maaaaamaaaaaaa nakufaaaaaaaa..
Mkuu iache akili yako ifanye kazi yenyewe usitumie nguvu,mamaaaa nakufaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Likwidi faya,... Mama nakufaaa
 
Hawa madogo sijui wanatoka wapi kungekuwa na maswali yakumpima mtu kwanza kabla ya kujiunga humu, tutakuja chat na vichaa humu

Msamehe bure home boy Mshana Jr
 
Aisee, jamaa aliumia kiutani utani.
pale si pakuvunjika tatizo ninkuwa hama mazoezi kbs na hakubalance uzito aliupeleka kwenye mguu mmoja sasa ukizingatia na likwidi jamaa mifupa haina nguvu madini yote anakojoa ....Pole zake a mshana yuko sahihi Kuna nyakati kuoate sekunde ya kujiuliza kabla hujafanya jambo lolote,
 
Hawa madogo sijui wanatoka wapi kungekuwa na maswali yakumpima mtu kwanza kabla ya kujiunga humu, tutakuja chat na vichaa humu

Msamehe bure home boy Mshana Jr
[emoji23][emoji23][emoji23]amenipa burudani tosha leo
 
Na hajazoea miruko kam ile, plus kilevi plus sifa... Ni kama kuachia gari ianyotembea kuna timing yake hasa ya mguu gani utangulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…