Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm.
Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa kukimbiwa na washirika wenzake kwenye huo mchongo wa upigaji.
View attachment 2833586
Kwahiyo sahivi dola ipo likizo? maana majangili yote yamerudi kwenye systemWalasio Upinzani Wala Nini!
Dola ilianza kazi rasmi ya kuwasambaratisha wanamtandao ambao walitaka kuifanya nchi ni ya kwao!bila hivyo Leo Wana mtandao wangeamua uraus was nchi hii watakavyo wao!!
Sio upinzani. Wala ccm ,ni dola katika kuua mtandao wao kwa kuwachonganisha!!!
Dadadekii chadema wakanusa harufu ya mshiko wakamkomba kumweka kwenye himaya chadema kwa ufisadi wanatisha!Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm.
Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa kukimbiwa na washirika wenzake kwenye huo mchongo wa upigaji.
Mkuu naomba maana/tafsiri ya neno "kustaafu".Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm.
Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa kukimbiwa na washirika wenzake kwenye huo mchongo wa upigaji.
Ila baba rizmoko mhuni sana alivyomkataa swahiba wake macho makavu kabisa.Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm.
Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa kukimbiwa na washirika wenzake kwenye huo mchongo wa upigaji.
We jamaaa , wazazi wako wanajivunia kukusomeshaWalasio Upinzani Wala Nini!
Dola ilianza kazi rasmi ya kuwasambaratisha wanamtandao ambao walitaka kuifanya nchi ni ya kwao!bila hivyo Leo Wana mtandao wangeamua uraus was nchi hii watakavyo wao!!
Sio upinzani. Wala ccm ,ni dola katika kuua mtandao wao kwa kuwachonganisha!!!
Kwa sasa watatokomezwa wote yaani wote hadi mu asisi wa upigaji!!Kwahiyo sahivi dola ipo likizo? maana majangili yote yamerudi kwenye system
Hakuna loloteKwa sasa watatokomezwa wote yaani wote hadi mu asisi wa upigaji!!
Wanakusanya ushahidi TU wa Nini kilijiri awamu ya tano!
Wamewapa comfort zone Kwa muda kabla ya kichinjio kufanya kazi yake!!
"SI WAMEKATAA MAAGIZO YA KULETA KATIBA MPYA ILI WAENDELEZE UPIGAJI WAO NA U MUNGU MTU!!?KOSA KUBWA SANA WAMEFANYA LAZIMA DOLA ITASAFISHA WOOTE WANAOHUSIKA,KWA KUWACHONGANISHA WAO KWA WAO HASA HIZO TEAM NA KAMBI NDANI YA CHAMA CHETU"SUBIRI UONE 2024-2025!!!!
Siyo kweli kwamba 'eti dola ilihusika', ni uongo tupu.Walasio Upinzani Wala Nini!
Dola ilianza kazi rasmi ya kuwasambaratisha wanamtandao ambao walitaka kuifanya nchi ni ya kwao!bila hivyo Leo Wana mtandao wangeamua uraus was nchi hii watakavyo wao!!
Sio upinzani. Wala ccm ,ni dola katika kuua mtandao wao kwa kuwachonganisha!!!
Absolutely true!Ila baba rizmoko mhuni sana alivyomkataa swahiba wake macho makavu kabisa.
Ndio unafiki wa ciciemuHivi tuseme ni bunge ndio likikuwa na meno, au bunge liliamua kusimama na mtawala kama ambavyo ile ripoti ya Richmond iliyosomwa na Mwakyembe ilivyosema?
Nakumbuka Dr. Mwakyembe mwenyewe kwa kinywa chake alisema anaogopa nchi kutikisika kwa kutosema yote waliyogundua kwenye ule uchunguzi wao.
Mimi naona bunge liliamua kusimama na mtawala, lakini kama kweli bunge lingekuwa na meno, basi kwanza lingemlazimisha Dr. Mwakyembe aseme yote, pili lingepiga kura ya kutokuwa na imani na mtawala, hapo ndio ningelipongeza bunge.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sema jambawazi JeikeiHivi tuseme ni bunge ndio likikuwa na meno, au bunge liliamua kusimama na mtawala kama ambavyo ile ripoti ya Richmond iliyosomwa na Mwakyembe ilivyosema?