Mzee Lowassa: Msaada wako unahitajika

Mzee Lowassa: Msaada wako unahitajika

Pundamilia07

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2007
Posts
1,439
Reaction score
55
Wadau nimepitapita huku na kule nimekutana na ombi hili kutoka kwa Zainab anahitaji msaada kutoka kwa Mzee Lowassa. Naomba kumsaidia kuzidisha kupeleka maombi yake.
Zainab alikuwa anaomba kiasi kidogo tu awezeshwe kulipia shule yeye na kaka yake.

Msikilize Zainab
Zainabu, from Tanzania on Vimeo
 
Kaka Pundamilia 07 salam,
Ni mzee LOWASA gani? huyu X PM????
 
Weka jina kamili namba za simu na account ya bank -- kuna watanzania mil 40 hapa tuna member zaidi ya alfu 5 hiyo inawezekana kumsaidia sio lazima lowassa
 
Weka jina kamili namba za simu na account ya bank -- kuna watanzania mil 40 hapa tuna member zaidi ya alfu 5 hiyo inawezekana kumsaidia sio lazima lowassa

Mkuu Shy,
Mjumbe hauwawi, nimeweka link ambayo inamuonesha kijana Zainabu akiongea kwa maneno yake mwenyewe kwamba anahitaji Mzee Edward Lowassa amsaidie. Kwahiyo nilichokifanya kama hatua ya kwanza ni kumsaidia kuusukuma mbele ujumbe wake umfikie mlengwa endapo kama ujumbe huo ulikuwa bado haujamfikia.
 
Wadau nimepitapita huku na kule nimekutana na ombi hili kutoka kwa Zainab anahitaji msaada kutoka kwa Mzee Lowassa. Naomba kumsaidia kuzidisha kupeleka maombi yake.
Zainab alikuwa anaomba kiasi kidogo tu awezeshwe kulipia shule yeye na kaka yake.

Msikilize Zainab
Zainabu, from Tanzania on Vimeo

At first I thought your kidding, ooh, is so bad. ITV used to introduce these people to the public and ask the public to assist and it was successful. I bet with JF the same can be more feasible.
 
At first I thought your kidding, ooh, is so bad. ITV used to introduce these people to the public and ask the public to assist and it was successful. I bet with JF the same can be more feasible.

I agree with you, together we can make difference.

Hili ombi kwa mara ya kwanza lilitumwa kupitia kwa vijana wa kiingereza ambao wameona kuna umuhimu wa Zainabu na watoto wengine kusaidiwa. Kazi hii ya kujitolea inafanywa na watoto wa kiingereza, sisi watanzania (JF) nafasi yetu ni ipi katika kuwasaidia watoto kama akina Zainabu?

Nadhani yeyote mwenye mawazo ambayo yanaweza kuanza kujenga msingi wa kubadilisha hoja za humu JF kuwa vitendo bila kujali tofauti zetu anaweza kufanya hivyo kupitia kwenye PM yangu. Pamoja tunaweza kuleta mabadiliko
.
 
Hapo nyuma tulishawahi kulizungumzia hili suala, Mkuu Pundit mpaka alitoa scholarship hapa hapa ($1500) JF........mpaka mara ya mwisho nilipomuuliza alinijibu kuwa hakupata aliyejitokeza kupata ile offer....anyway level ya msaada wake ilikuwa ni kwa mwanafunzi (kike kama sikosei) kwa Chuo Kikuu na kwa kozi ya Computer Science......najua tupo ambao tunaguswa na hali kama hizi pindi zikitokea machoni petu...........

Ikiwa ni njia moja wapo ya kuitangaza JF.........tunaweza kuji-organise kutoa misaada where needed na kama uwezo upo......ukiangalia kwa haraka haraka vitu alivyo vitaja Zainabu sidhani hata kama inazidi $30!
 
Ni kweli kabisa mahitaji anayohitaji Zainabu ni fedha kiasi kidogo sana. Neno Maendeleo kwa tasfiri yangu ni hali ya kutoka katika hatua moja kwenda nyingine kwa kupata mafanikio. Hapa JF kuna mkusanyiko wa mawazo mengi na mengine kama yakiweza kugeuzwa na kuwa vitendo basi yanaweza kuthibitisha kuwa hii forum siyo ya maneno matupu. Haitaleta mantiki yeyote endapo tunaongea tu bila ya kupiga hatua ya kupata maendeleo zaidi ya hapa tulipokwisha fikia. Let us go some extra few miles tuonesha kuwa JF si kuongea tu, bali tunaweza kutenda pia.

This is a real challenge.
 
Wandugu Mimi Zainabu hajanigusa saana kwa sasa
maana naona hiyo organisation iliyochukua habari zake itamsaidia.

Kuna huyo kaka yake ambaye amefaulu na hajaenda shule hadi sasa
kwa kukosa ada na mahitaji mengine je tutamsaidiaje????

Invisible na Crew yako tunaweza kupata means ya kumchangia huyu kijana
aende shule????

Nadhani huu ndio wasaa wa JF pia kusaidia katika maendeleo ya watanzania
wenzetu wenye kuhitaji msaada wetu. Tusiwe tu wepesi kusaidia kina
Kubenea, Dr. Massae na wengine kulipia legal charges, lakini pia tuwe tayari kuwasaidia watu wenye potential kama huyo kijana.
 
Back
Top Bottom