kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!