kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kuna jamaa anasema navujisha siri za serikaliMkuu umepigwa biti na nani tena!
Mlionjeshwa pepo!ndoto za mchana hizoo.
jiwe kama sio wizi anafikisha kura mil1??
Je huyo jamaa ni mimi!Kuna jamaa anasema navujisha siri za serikali
Nawewe unashutumiwa kipara kutisha watuJe huyo jamaa ni mimi!
Wana hofu na woga tu!Nawewe unashutumiwa kipara kutisha watu
https://www.jamiiforums.com/threads...gi-siyo-kila-kitu-ni-cha-kuweka-hapa.1557605/
Mlionjeshwa pepo!
Unaonaje Mbowe akafunguliwa jalada la utapeli wa siasa!Tulikusanyika Mbezi ya Kimara kuanzia saa sita za mchana, saa kumi tukaambiwa Mzee Lowassa muda si mrefu atawasili hapo uwanjani akitokea Kawe, kulikuwa na umati wa watu sijawahi kuona. Mabasi ya mikoani hasa yale yaliyokuwa yakitoka Moshi, Arusha nk kuja Dar yalikuwa yakipita na abiria wote ndani ya mabasi wakitupungia mikono huku nwakionyesha alama ya vidole viwili.
Muda ukafika Mzee Lowass akawasili....nadhani hotuba yake ilikuwa fupi kuliko zote kuwahi kutokea dk 2 au 3 ila sio zaidi. Hata hivyo wana Mageuzi tulifurahi sana.
Nikipata nafasi nitahadithia nilivyotoka kwa mguu Luguluni kuja shule ya msingi Msakuzi kumpigia kura Lowassa na Ukawa.
Sitarudia tena kushabikia Upinzani Njaa Kama Huu wa Tanzania.....
View attachment 1041982
Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote wasingefikisha hata nusu ya kura za 2015,
Kwa kuwa uliwaahidi kuwashukuru na umeondoka ghafla ni vyema ukawapa nafasi ya kukushukuru.
Kwa hakika hawana mgombea mwingine atakae weza kugusa idadi ile,
Kwa muonekano na matatizo waliyonayo na upungufu wa mgombea ni dhahiri yao ni kura 2.5!
Mkuu umepigwa biti na nani tena!

Je huyo jamaa ni mimi!
Unaonaje Mbowe akafunguliwa jalada la utapeli wa siasa!
Ulitembea kwa mguu kwa kuwa hukuwa na nauliTulikusanyika Mbezi ya Kimara kuanzia saa sita za mchana, saa kumi tukaambiwa Mzee Lowassa muda si mrefu atawasili hapo uwanjani akitokea Kawe, kulikuwa na umati wa watu sijawahi kuona. Mabasi ya mikoani hasa yale yaliyokuwa yakitoka Moshi, Arusha nk kuja Dar yalikuwa yakipita na abiria wote ndani ya mabasi wakitupungia mikono huku nwakionyesha alama ya vidole viwili.