Sipati picha ulivyo kuwa unamtukana lowasa wewe na msukuma leo hii au jana ulikuwa unajisikiajeUnajuta jinsi gani ulivyopiga deki barabara ya tope na kumpandisha mzee jukwaani!
Sio ndani ya chama,unajuta ulivyokuwa ukizungusha kiuono na mikono usikasirike wacha aje akushukuru!Nikweli kabisa maana kina waitara na kina kafurila na wengine wote walio nunuliwa wakaja na kupewa madaraka na kuwaacha nyinyi mkipiga mihayo hamuwaoni
In God we trust
Acha UZUSHI WEWE! Mie na huyu fisadi lowassa wapi na wapi! Nilimpinga kabla hajakimbilia chadema na hata baada ya kukimbilia chadema. Mie si bendera fuata upepo.
Nilikuona jana ulivyokuwa unajichekesha kinafiki kudadadeekiSio ndani ya chama,unajuta ulivyokuwa ukizungusha kiuono na mikono usikasirike wacha aje akushukuru!
Uzuri sikuwahi piga deki lami wala kuzungusha mikono,jana nilikuwepo kwa shughuli maalumu!Sipati picha ulivyo kuwa unamtukana lowasa wewe na msukuma leo hii au jana ulikuwa unajisikiaje
In God we trust
Mimi siyo kama msigwa au lema wewe,alipokwenda ikulu kamati kuu imuomba msamaha na wanachama wote mkalazimishwa kuomba msamaha!Nilikuona jana ulivyokuwa unajichekesha kinafiki kudadadeeki
In God we trust
Uzuri sikuwahi piga deki lami wala kuzungusha mikono,jana nilikuwepo kwa shughuli maalumu!
nimemwangalia akiongea na mabalozi kazeeka ghafla, Lisu + Membe watamsababishia preshamwenyekiti wenu presha itamuua kisa chadema.
hapambani na uchumi anapambana na usajili.
Wapi wewe mimi sio kama Mbowe!Huyo kachanganyikiwa baada ya kumtukana sana lowasa yeye na msukuma sasa jana kimemshuka hapa Arusha
In God we trust
Mimi siyo kama msigwa au lema wewe,alipokwenda ikulu kamati kuu imuomba msamaha na wanachama wote mkalazimishwa kuomba msamaha!
kwa kweli unajuta jinsi mlivyopoteza muda kwa kudeki barabara na kulala kwenye vituo vya kura wengine mliwapiga ndugu zenu kisa tu hawamtaki kumuunga mkono Lowassa!Shughuli maalumu ya kubeba maji na kumsogezea uliyekuwa unamtukana?kweli Bashiru Ally kaamua kuitumia akili yake kuwatesa nyinyi waramba viatu
In God we trust
chairman wa coast zone mnae huko anatafakari atoke vipi!Vipi jana ulienda na kitubio kuomba msamaha kwa oil chafu
In God we trust
kwa kweli unajuta jinsi mlivyopoteza muda kwa kudeki barabara na kulala kwenye vituo vya kura wengine mliwapiga ndugu zenu kisa tu hawamtaki kumuunga mkono Lowassa!
chairman wa coast zone mnae huko anatafakari atoke vipi!
vipi mbona unatoka machozi kwani ndio umeambiwa ile tender ya kumpigia kiwi kila wiki utakuwa umeikosa!Vipi mitusi uliyoshiriki kumtusi lowasa utafanya kitubio?
In God we trust
vipi mbona unatoka machozi kwani ndio umeambiwa ile tender ya kumpigia kiwi kila wiki utakuwa umeikosa!
Msamaha wa nini sikuwahi mtukana nilikuwa namwambia ukweli na nitaendelea msimamo wangu ni ule ule!Nijibu kwanza jana ulimuomba msamaha lowasa kwa matusi uliyo mtukana?
In God we trust
Nani amekutisha!
Mimi sitishiki sitishwiNani amekutisha!