Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Baba yake alikua katili sana, nadhani akiwa DC serengeti alisababisha vurugu.
Alikuwa DC Iringa mjini, Serengeti na Rombo
 
Kaka kumbe USA??!!!
 
Tatizo ni CCM
CCM inafundisha ugaidi kwa uvccm
CCM inafundisha ubaguzi kwa uvccm
CCM inafundisha utekaji nk

Matatizo yote Tanzania yaanzia ccm na Vijana wake uvccm, mfano
Makonda
Alhapi
Sabaya
Hata Hamza wa uvccm
Nk
 
Na ndio wanapeana madaraka ya kiserikali na kiulinzi Kwenye majeshi YETU.

Mwisho wake tunashangazwa
PGO hazifuatwi
Sheria hazifuatwi
Kanuni, Taratibu na miiko hazifuatwi

Tunashangazwa polisi kugeuka wanasiasa, polisi kupambana na wanasiasa, wakuuu wa wilaya, mikoa nk kupambana na wananchi nk wote wanatokea huko uvccm

Ccm imeiharibu Tanzania sana.
 
Alifeli akaenda kusoma uganda advance, au uganda ni ughaibuni?!

Chuo kasoma education st john hapo dodoma na inasemekana hakuhitimu.
 
Uhuru Kenyatta kasoma Marekani mlinganishe na Sabaya sasa. Kama kweli alisoma huko basi hata kwenda kutembelea hakutakiwa lilikuwa kosa kubwa sana. Mana kwa ujinga wake na ushamba wake huo anawadhalilisha waliosomea huko kama ni kweli alisomea huko.
 
Mwalimu wake alokuwa TRUMP
 
Kumbee! Sasa nimeelewa kwanini alikuwa vile, alikuja akilini mwake akiwa na filamu za makauboi (cowboys) za kuvamia kupora na kuondoka akina Kitty Courson enzi hizo.
 
Labda Marekani ya USA river
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…