Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka.
Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau.
Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu maarufu wenye visomo vikubwa, bali watu wakaida kama Mzee Lukanga.