J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Sep 20, 2020 #1 Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka. Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau. Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu maarufu wenye visomo vikubwa, bali watu wakaida kama Mzee Lukanga.
Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka. Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau. Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu maarufu wenye visomo vikubwa, bali watu wakaida kama Mzee Lukanga.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 20, 2020 #2 Sasa mmeamua kufanya utani!
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Sep 20, 2020 #3 Nimecheka sana!
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 2,428 Reaction score 3,937 Sep 20, 2020 #4 Jamaa yuko vizuri, ametoa ufafanuzi kwa lugha rahisi kwa mwananchi wa kawaida. CHADEMA wana uwezo mkubwa wa kuibua watu wenye vipaji vya kujieleza kwa ufasaha.
Jamaa yuko vizuri, ametoa ufafanuzi kwa lugha rahisi kwa mwananchi wa kawaida. CHADEMA wana uwezo mkubwa wa kuibua watu wenye vipaji vya kujieleza kwa ufasaha.
dudupori JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 1,795 Reaction score 1,914 Sep 20, 2020 #5 Mzee nimemkubali yuko vizuri.