Mzee Magoma anaweweseka!

Mzee Magoma anaweweseka!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
"Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini haya yaliyotokea jana [kushinda kesi dhidi ya uongozi Yanga] hazina ukweli.” – Juma Magoma, Mwanachama Yanga
 
1703528864388.jpg
 
Mzee haki yako haipotei.tupo pamoja.wapigaji hawana nafasi
 
Ukiwaona Wengine Sehemu ujue ni Fotokopi......Sisi ndio wenyewe Wananchi , ndo Tushasema ....Msomali Kutuibia baaasi..!!

Iweje mpaka Leo mkataba Wa Jezi hatujui Sisi Yanga tumepata shin' ngapi?

Wenzetu upande Wa pili Wanabunya billion nne kutoka 'The only one 'Sisi aaaaah'

Nenda Baba
 
Msomali atuachie tu timu yetu wenyewe tulizoea kuishia raund ya kwanza clabu bingwa tushatolewa yeye anatuletea mambo ya kufika robo huko kama makolo, tulizoea wenyewe kushika nafasi ya pili ligi kuu yeye anatuletea makombe mara 3 mfululizo hili jambo halikubaliki, tulishazoea kutembeza mabakuli yeye anatuletea jiesiemu anasajili hadi wakina chama na azizi k yaan anatufanya sisi ni watoto? atuachie timu yetu tumemiss kutembeza bakuli na kuishia raund ya kwanza clabu bingwa.
 
"Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini haya yaliyotokea jana [kushinda kesi dhidi ya uongozi Yanga] hazina ukweli.” – Juma Magoma, Mwanachama Yanga
IMG_2386.jpeg
 
Ila Wabongo tuna kasumba hasa.

Huyo babu hata akipewa yeye timu nini hasa atakachoifanyia, maana ni wazi hana elimu, hana fedha wala hana exposure.

Au ndio ile yangu yangu hata kama sijui niifanyie nini.
 
Huyu mzee kasema huyo Magoma anachokitafuta hivi sasa ni kifo tu


View: https://youtu.be/7qX83Tu0y1w?si=raHK2JJMpAF7A3mE

yanga tunaomba mtuondolee vizee vyooote tubaki na professionals, miaka ya kutawaliwa na vizee kama akilimali na vingine ni ile ilishapita, akija mzee yeyote kujifanya kutishia watu au kana kwamba uchawi wao ndio huwa unafanya tushinde, ondoeni hao wazee, ajirini professionals aina ya engineer, si mnaona klabu ilivyopaa baada ya vichwa kuingia badala ya walialia njaa wanaojali matumbo yao waliokuwepo zamani. sasa wewe watut unaongea vitu vya maana anakuja mzee na kusema mwenzake anachotafuta ni kifo tu, kwani sisi tunapenda mwanayanga yeyote afe? hata angekuwa amekosea hatakiwi kufa, roho za vizee hivi vichawi tuzikatae.
 
Back
Top Bottom