Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Sikiliza dakika ya 10 sekunde ya 40 na kuendelea, Mzee Magoma anasema kuwa viongozi wote wa Yanga walio chini ya engineer Hersi Said ni Mazezeta.
Yaani kwakifupi anasema kuwa makamu wa rais wa Yanga ndugu Arafat Haji ni zezeta, Ally Kamwe ni zezeta, Simon Patrick ni zezeta nk.
Swali kwa ofisi ya mwanasheria wa Yanga: Je, hii kauli ya mzee Magoma ni yakweli? Itakuwa vibaya kumtaka afike mbele ya mahakama kuthibitisha kauli yake?