Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Sikiliza dakika ya 10 sekunde ya 40 na kuendelea, Mzee Magoma anasema kuwa viongozi wote wa Yanga walio chini ya engineer Hersi Said ni Mazezeta.
Yaani kwakifupi anasema kuwa makamu wa rais wa Yanga ndugu Arafat Haji ni zezeta, Ally Kamwe ni zezeta, Simon Patrick ni zezeta nk.
Swali kwa ofisi ya mwanasheria wa Yanga: Je, hii kauli ya mzee Magoma ni yakweli? Itakuwa vibaya kumtaka afike mbele ya mahakama kuthibitisha kauli yake?
Mzee Magoma ajengewe mnara.Mazezeta fc
Bora mbumbumbu kuliko mazezeta,dah mazezeta fcAliyewaita mbumbumbu mashabiki na wanachama wa simba, ajengewe haraka sanamu yake ya kumbukumbu.
Wanatembelea maneno ya Manara na Magoma, bila ya hao hawana cha kuongea dhidi ya Yanga.Aliyewaita mbumbumbu mashabiki na wanachama wa simba, ajengewe haraka sanamu yake ya kumbukumbu.
Kweli kabisa, mbumbumbu ni mtu ambaye hajui kitu lakini akielemishwa anaondokana na umbumbumbu bali zezeta ni ni taahira ambaye hawezi kuelewa waka kueleweshwa, Magoma ajengewe mnara.Bora mbumbumbu kuliko mazezeta,dah mazezeta fc