Mzee Magoma: Manara alikuwa mlevi

Mzee Magoma: Manara alikuwa mlevi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii ni mashine moja tu inaitwa Magoma, akija Mwaipopo je? Inasemekana Mwaipopo ni machachali sana, Magoma anasubiri.

Katika mahojiano yake na Sports HQ, Magoma amesema kwamba Haji Manara wakati akiishi Magomeni, alikuwa analewa mpaka anadondoka, anapata madonda, na pia akilewa alikuwa anajibinua kama lori la mchanga....., sasa sijamuelewa Mzee Magoma, Manara alikuwa anajibinua masaburi amaa alikuwa na lengo gani kujibinua!!!!, hawa wazee wa siku mingi wana siri nyingi!

Hakika hii vita imenoga......

#HersiMustGo.

View attachment 3045847
Hayo ya kulewa hayauhusiani na timu , na hata ni kweli ilikuwa zamani na sio sasa.
 
Back
Top Bottom