CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Magoma anasema mengine ameyahifadhi kwa heshima ya wazazi wa Haji, ukijiongeza hapo utajua kuwa biashara ilifanyika, wahuni hawajawahi kuacha mdondo salama.Hiyo michezo ya kulewa na kujibinua angeifanya maeneo yetu ya uswahilini hadithi ingekuwa imeshabadilika lakini ninavyoijua magomeni ya kipindi hicho sijui kama kijana hakuchezea bakora.
Ngoja niwatafute wakongwe wa magomeni nipate habari za Haji
Wala sio Siri,ni kuhifadhiana tu Kibinadamu.Watu mna siri!. Nichojifunza ukiwa na 'past' yenye utata ni Bora ukatulia.
Kabisa lo
Alikosea tu kumshambulia huyo Mzee kwa mambo binafsi kuwa hana hata uwezo wa kulipa kodi ya nyumba, angempiga nyundo tu za kile alichokifanya kuondoa amani Yanga.Wala sio Siri,ni kuhifadhiana tu Kibinadamu.
Wote tunakosea,tunajirekebisha na tunasonga mbele.
Yanamkuta Hajji haya kwa sababu yupo kwenye spotlight tu.
Ukiacha makandokando yake binafsi,jamaa ni mtu poa sana.
Kweli,hiyo ni kashfa.Alikosea tu kumshambulia huyo Mzee kwa mambo binafsi kuwa hana hata uwezo wa kulipa kodi ya nyumba, angempiga nyundo tu za kile alichokifanya kuondoa amani Yanga.