Mzee magoma vs Kurjuan

Mzee magoma vs Kurjuan

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Huyu mzee hizi siku embu kaangalieni wapendwa sio wa kumchezea. Alimwambia kitu Ali Mamwe akafutika kabisa.

Jana kahojiwa kasema dogo kurujuan imempitia wasubiri tarehe 8 Agosti, 2024. Dah haya mambo ya kafara atutaki embu viongozi ongeenae please.
 
Angekuwa Magoma la ajabu angemfanya Manara akafutika kwa mashabiki. Manara si ni mmoja wa watu waliosema ni mamluki, mbona anatamba tu. Hakuna cha Magoma wala nini ni vile watu wameshaona wabongo tunapenda umbea, majungu, fitina, na ukosefu wa maarifa, n.k naye anatembelea fursa za uwezo mdogo wa watu kufikiria.
 
Dogoo kajipanga be manara sio wakugusa yawezekana kamjaribu akakutana na kitukizito
 
Huyu mzee hizi siku embu kaangalieni wapendwa sio wa kumchezea. Alimwambia kitu Ali Mamwe akafutika kabisa.

Jana kahojiwa kasema dogo kurujuan imempitia wasubiri tarehe 8 Agosti, 2024. Dah haya mambo ya kafara atutaki embu viongozi ongeenae please.
Wacha awanyooshe😂😂😂👍
 
Mpeni Mzee Magoma Timu Yake Usifanye Mzaha Kuivuruga Yanga Iliyotulia
 
Back
Top Bottom