Dogoo kajipanga be manara sio wakugusa yawezekana kamjaribu akakutana na kitukizitoAngekuwa Magoma la ajabu angemfanya Manara akafutika kwa mashabiki. Manara si ni mmoja wa watu waliosema ni mamluki, mbona anatamba tu. Hakuna cha Magoma wala nini ni vile watu wameshaona wabongo tunapenda umbea, majungu, fitina, na ukosefu wa maarifa, n.k naye anatembelea fursa za uwezo mdogo wa watu kufikiria.
kinaitwa Kisomo.Mkuu hizi ndio albadili ??ama n tofauti
Wacha awanyoosheππππHuyu mzee hizi siku embu kaangalieni wapendwa sio wa kumchezea. Alimwambia kitu Ali Mamwe akafutika kabisa.
Jana kahojiwa kasema dogo kurujuan imempitia wasubiri tarehe 8 Agosti, 2024. Dah haya mambo ya kafara atutaki embu viongozi ongeenae please.