Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend

Kuna movie moja mzee aliigiza inaitwa Mume bwege aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rip regend [emoji22][emoji24]
 
Halafu sasa yeye sio kama hao wababaishaji weengine wanaokwenda kufanya shooting kwenye mahoteli na kwenye majumba yenye hadhi...

Mzee majuto anaweza akamaliza shughuli zake zote chini ya mti na akawaacha mmeshika matumbo kwa vicheko.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
jamaa wala hatumii misuli na kujikakamua kuchekesha.
nlicheka sana last week alipokuwa akihojiwa na bonge wa clouds fm akiwa tanta...
jamaa alidomonate interview kiasi kwamba bonge ndio akageuzwa mwalikwa na kupigwa maswali ya ukweli mno.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
HE SHALL ALWAYS HAVE MY RESPECT AND CREDIBILITY. OUR NATION PRIDE
 
Waigizaji wa bongo movie inatakiwa wakae chini watafakari,movies nyingi hivi ila mafanikio hamna
 
nashukuru mzee majuto nilikuona live mwanzoni mwa miaka ya 2000 ulipokuja shuleni kwetu hata ule mkusanyiko sijausahau
Pumzika kwa amani mzee
 
Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…