Mzee Makamba kuna pumzi ya mwisho. Zingatia maisha baada ya Dunia

Mpigamimba

Senior Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
198
Reaction score
237
Is as if watu hawataondoka kwenye Ardhi hii.

Hili sio Kwa Makamba senior pekee. Viongozi wote mjue Kuna maisha baada ya haya. Wekeni maslahi zenu pembeni, ongea uhalisia. Ukweli na Kwa uaminifu.

Ni vigumu sana kupata heshima kw njia ya zomeazomea. Najua watu hawaielewi zomeazomea. Hili Lina muhusu kila kiongozi.
 
Busara zake siku zote ni kidogo sana.
 
Ndio anatuaga hivyo
 
shida mnashindwa kuelewa alichomaanisha ni kwamba viongozi wazuri hawafi( maana yake mema au mazuri ya viongozi yataendelea kuwepo hata wakifa ) ni sawa na kusema wema hauozi
 
Tumuogope Mungu na teknolojia - Ruge Mutahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…