sidhani kama huyu atahama ni wazee waliobaki na kina kingunge waliokunywa maji ya bendera ukimkata damu ni ya kijani.aingia chadema
Mzee Malecela hakika hatahama CCM,ni mzee ni mvumilivu sana na ni most effective when pinned down.Ccm itafanya kosa kumtosa pamoja na uzee wake.Mimi ningemshauri sasa aandike memoirs zakesidhani kama huyu atahama ni wazee waliobaki na kina kingunge waliokunywa maji ya bendera ukimkata damu ni ya kijani.
Huwezi kupumzika kwa amani kama bado unaishi duniani lazima utakuwa na utashi utakaokusukuma kutenda jambo ambalo hukulifanya wakati wa ujana wako hata kama hutafanikiwa angalau utajifariji umesikika..Jamani, wamwache huyu mzee apumzike kwa amani.
Mkuu,binafsi namwona Malecela kama mroho wa madaraka as if alizaliwa kuwa kiongozi.Aliahidi 2005 kuwa angestaafu lakini kwa uroho wake wa madaraka akakiuka ahadi ya 2005.Kwanini hataki kujifunza kwa ex-PMs wenzake? Sasa record yake ya utumishi kwa umma imeingia doa kubwa zaidi.......mwaka huu wamempiga mzee malecela kote kote..anyway labda apoozwe kama Msekwa alivyopewa kazi baada ya kushindwa uspika...nadhani atamuuliza kama anautaka ubunge wa kuteuliwa akikubali ataweza kumteua....ila ni dhahiri kuwa JK alikuwa na kisasi na Malecela....,pamoja na kuwa mzee malecela alimsamehe Jk kwa tukio baya la mkewe kufanyiwa uhuni pale morogoro...na agents wa mutandawo....bado mzee malecela aliweza kuondoa kinyongo na kuendelea kukipigia chama kampeni za uchaguzi mdogo....
Kimsingi mzee malecela ni mwana ccm wa kutupwa...na muumini wa demokrasia ....kwani alishawahi kushindwa ubunge miaka ya nyuma ......na akakubali matokeo ...akapelekwa kuwa mkuu wa mkoa Iringa...,alipata pia kushindwa urais mara mbili na amebaki mwana ccm....ni dhahiri kuwa ataendelea kuwa ccm ...damu ila hatumtegemei ampigie kikwete kampeni mwaka huuu!!
kuwasalimia na kuwapa warning ya kuanza kampeni kabla ya mudaaingia chadema
Hata Winston Churchill alipata kushindwa uchaguzi long after his WWII heroics....na bado aliheshimika mpaka umauti ulipomfika....SIONI KWA NINI tumsakame Mzee wetu huyu...tunatakiwa kumpongeza kwa kukubali kushindwa...ndiyo demokrasia
Sir Winston Leonard Spencer-Churchill, KG, OM, CH, TD, PC, FRS (30 November 1874 – 24 January 1965) was a British politician known chiefly for his leadership of the United Kingdom during the Second World War. He is widely regarded as one of the great wartime leaders. He served as prime minister from 1940 to 1945 and again from 1951 to 1955. A noted statesman and orator, Churchill was also an officer in the British Army, a historian, writer and artist. To date, he is the only British prime minister to have received the Nobel Prize in Literature, and the first person to be recognised as an honorary citizen of the United States.
Although Churchill's role in the Second World War had generated him much support from the British population, he was defeated in the 1945 election
Hapana,
Marais wengi wa marekani kama Rais Clinton, Rais Bush, na Rais Obama pia waliwahi kushindwa uchaguzi mara kadhaa huko nyuma kabla hawajawa maarufu. Tatizo la Mzee Malecela ni kuwa ameshindwa wakati ni mtu maarufu sana tena akiwa ukingoni mwa career yake; mbona aliwahi kushindwa mwaka 1985 lakini leo haikumbukwi tena. Kwa sasa atakuwa na wakati mgumu sana kupata nafasi ya kufuta tukio hilo kutoka kwenye historia yake tena, ingawa huwezi ku rule out kuwa anaweza kuwa na alternative.
Unamaanisha Dr Slaa? (red)......mwaka huu wamempiga mzee malecela kote kote..anyway labda apoozwe kama Msekwa alivyopewa kazi baada ya kushindwa uspika...nadhani atamuuliza kama anautaka ubunge wa kuteuliwa akikubali ataweza kumteua....ila ni dhahiri kuwa JK alikuwa na kisasi na Malecela....,pamoja na kuwa mzee malecela alimsamehe Jk kwa tukio baya la mkewe kufanyiwa uhuni pale morogoro...na agents wa mutandawo....bado mzee malecela aliweza kuondoa kinyongo na kuendelea kukipigia chama kampeni za uchaguzi mdogo....
Kimsingi mzee malecela ni mwana ccm wa kutupwa...na muumini wa demokrasia ....kwani alishawahi kushindwa ubunge miaka ya nyuma ......na akakubali matokeo ...akapelekwa kuwa mkuu wa mkoa Iringa...,alipata pia kushindwa urais mara mbili na amebaki mwana ccm....ni dhahiri kuwa ataendelea kuwa ccm ...damu ila hatumtegemei ampigie kikwete kampeni mwaka huuu!!