I now believe why Tanzania imports "Human resources" we have absolete
I now believe why Tanzania imports "Human resources" we have absolete
kuhusu importation ya human resources, name one country in this universe ambayo hai-import human resources, surprisingly unwezekana hata wewe ni imported human resources kwenye nchi ya watu.. sas hebu fikiria ulivyo obsolete bado mtu anakulipa mshahara.,... na kama upo hapa nchini haiyumkini utakuwa serikalini... obsolete as well!!!!!!!!
I respect your comments!umeenda ndivyo sivyo... si kila atoae mchango anatoka jimbo la huyu kibabu; watanzania wana haki ya kuweka wazi mitazamo... mimi kama kijana nitamsapoti atakaechkua fomu kumpinga babu
kuhusu importation ya human resources, name one country in this universe ambayo hai-import human resources, surprisingly unwezekana hata wewe ni imported human resources kwenye nchi ya watu.. sas hebu fikiria ulivyo obsolete bado mtu anakulipa mshahara.,... na kama upo hapa nchini haiyumkini utakuwa serikalini... obsolete as well!!!!!!!!
I respect your comments!
I believe young people like you should appreciate a man like Mr. Malecela being such energetic and can challenge the youths!
Have you heard abouth other stories? Still these stories told by youths, my old guy (father) is happy in his own way. The youths come and say this old guy is taking our share! One thing, I have to tell you; if Mr. Malecela wins and you're loosing is because he is doing something more than what you do. Go and make research. Life is not so simple as you think. Not by only passing your examinations.
I love my country that is why I pointed on the imports, sorry if you are among of those obsolete!! I am not. I am CEO
ishu kama ni ujana basi haifai kabisa. mathakani Masha, Nchimbi, Ngeleja, Adam Malima na akina Husseni Mwinyi wamewafanyia nini Watanzania kuwazidi wazee kama Ndesambulo na Slaa ? Kutetea hoja kwa kutumia umri ni kufilisika
Ishu tunataka wabunge watakao saidia wadanganyika kuondokana na ubeberu mpya Africa wa watu weusi wakijifanya kuwa wenzetu kumbe wako Dunia nyingine
huyu mzee mroho wa madaraka sana asipoangalia atakuja kuangauka kwenye kampeni.
Pole sana! We are 200 years before (behind) we can be humans!! That reasoning??shukrani kwa kurudisha mstari... nadhani hoja hapa si ujana bali ni mapumziko!! Babu sasa apumzike, akae, aandike vitabu tumkumbuke, unajua hawa watu wakifia madarakani wanakosa muda wa kutuachia urithi
Ingekua ni ubora, basi malechela angekaa miaka mia wakati malima, vita kawawa, na wenzao wangekaa 1 second tu!!!
Tinga Tinga tunamhitaji akiwa kama mzee wa busara, akitukanya from outside huku anachapisha kitabu na sie tunasoma... ninaamini hazina aliyo nayo Malechela hakuna tanzania nzima, mkuu amepitia mengi sana, na akibaki ubunge, atakosa huo muda wa sie wa Dar kumfaidi na kuchota historia yake
Pole sana! We are 200 years before (behind) we can be humans!! That reasoning??
shukrani kwa kurudisha mstari... nadhani hoja hapa si ujana bali ni mapumziko!! Babu sasa apumzike, akae, aandike vitabu tumkumbuke, unajua hawa watu wakifia madarakani wanakosa muda wa kutuachia urithi