Mzee mangungu unang'ang'ania madaraka hutaki kung'atuka utaumbuka

Mzee mangungu unang'ang'ania madaraka hutaki kung'atuka utaumbuka

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Huyu Mwenyekiti ajitathmini na afanye maamuzi ya kupumzika uongozi, kutoka na upepo unavyoelekea atapata wakati mgumu Sana.

Mangungu aachie ngazi kwani Hali ya timu siyo nzuri
 
Aende wapi kama tuzo mashabiki wake kishawapatia.
Screenshot_20231117_103534_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom