Mzee mashine mbili

Mzee mashine mbili

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
kuna dada mmoja alikuwa hawajui wanaume hivyo aliolewa na mzee ambae jinsia zake za kiume ziko mbili.yule dada baada ya kugundua vile alianza kudai talaka kwani alimuona kama sio mtu wa kawaida.

yule mzee aliumia sana moyoni kwani alimpenda sana dada yule na alikwenda kwa rafiki yake kutaka ushauri rafiki yake akamwambia usiwe na tabu mi naenda kuongea na shemeji mambo yatakuwa sawa we nisubiri hapa.

alipo fika sasa

JMAA;shemeji hodi ?
DADA;karibu . . ."
JAMAA;shemeji mzee mashine mbili yupo ?
DADA;hayupo..."
JAMAA;sasa akija mwambie mzee mashine nne amekuja kukupa taarifu kuwa kwa mzee mashine tatu kuna msiba katoto kake ka mashine sita kamefariki hivyo ampitie kwa mzee mashine tano twende pamoja.

Mke kuskia hivi akaona bora nivumilie wengine hadi sita mi mbili tu tavumilia kwakweli

maisha yakaendelea kama kawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom