Nazgur JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3,729 Reaction score 2,851 Sep 20, 2020 #21 Kinjeketile said: Magufuli ana 1.5% Click to expand... Upo ndotoni, angalia nyomi ya isimani kwa lukuvi inazidi ya tundu lisu na kotoka huko juzi tu.
Kinjeketile said: Magufuli ana 1.5% Click to expand... Upo ndotoni, angalia nyomi ya isimani kwa lukuvi inazidi ya tundu lisu na kotoka huko juzi tu.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Sep 20, 2020 #22 Kachero yupo kazini pay slip yake ipo vzr kabisa...... Ila ccm wamechemka mara hii
K Kinjeketile JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 999 Reaction score 1,683 Sep 20, 2020 #23 Nazgur said: Upo ndotoni, angalia nyomi ya isimani kwa lukuvi inazidi ya tundu lisu na kotoka huko juzi tu. Click to expand... Wanafunzi wa chekechea,shule ya msingi na sekondari tokea lini wakapiga kura.
Nazgur said: Upo ndotoni, angalia nyomi ya isimani kwa lukuvi inazidi ya tundu lisu na kotoka huko juzi tu. Click to expand... Wanafunzi wa chekechea,shule ya msingi na sekondari tokea lini wakapiga kura.