Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I love JF. Kahaba mtaafu anajifanya an Angel. Ila wamekutana maana na mzee kwa toto dogodogo za mjini alimaliza. Wako vijana wa mjini walineemeka kwa kukuwadia mzee mabinti wakali mjini. Pole mtalaka Mercy Anna kwa machungu ya mzee mliyetafuta wote mkaneemeka ila mwishowe akaona hufai. Maisha hayana umilele hata kama una hela kifo huwezi zuia. Iko siku na siku inakuja.
 
Hii kali kabisa. Daaah kumbe aliachwa mataa? Ukweli ingekuwa ni ndugu yangu ningeenda tu nimshauri kuwa maisha yake yawe kwenye usiri tu maana anaweza kuamsha waliolala kwa sababu ona kwa mambo anayofanya kwa sasa mpaka hata mimi Zogwale nimejua nisichokuwa nimejua kuwa huyu mwanamke alikuwa ni kahaba wa casino na kuwa ni internationa prostitute. Aiseee mama wawili tulia kwa sababu sasa anachafuka mitandaoni.

Ila ninawaambia kuna senema anatengeneza huyu. Time will tell.
Huyu mzee had all his life in privacy, out of camera and now his life is so much exposed. Ndugu zake na watoto kama mna akili ya ziada ni vyema waliangalie hili kwa jicho la pili.
 
mengi alishea housegirl wake na mtoto wake muttie muone hivyo hivyo huyo hafai tabia mpaka dogo akahama home kwa hasira
 
Hivi huyu mzee aliamua kummwaga Mercy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mengi alishea housegirl wake na mtoto wake muttie muone hivyo hivyo huyo hafai tabia mpaka dogo akahama home kwa hasira
Hahahahaha basi ni familia ya makahaba,maana mutie walimkoma mjini
 
huyu ni mgeni na matajiri ,kafara inamhusu
 
Who cares?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo anayemshikilia mwenzake ni nani?

Jacqueline au Reginald?

Hapo kuna watu watasema hayo ni maagizo kutoka juu, ili kupotezea issue ya CAG...



Cc: mahondaw
 
Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.
 
Huyu demu anajifanyaga mpole sana...yaan she's acting like saint asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu na yule rafiki yake Irene Kiwia wote wamedanga sana mpaka wamepata kivuli ndio wametulia, halafu watu ndio wanawaona wadada wapole wote wameingilia ndoa za watu kutaka status mjini, kikundi chao wote, Jacky, Irene, Nancy Sophia Byanaku, yaani Faraja Kota tu ndio alipata mume wake mwenyewe hakuvunja ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…