Mzee Mfinanga afariki

Mzee Mfinanga afariki

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Tuna habari kuwa mzee Mfinanga wa Dar-es-Salaam amefariki dunia. Ni baba mzazi wa Ayub, Mtanzania mwenzetu wa hapa Detroit pamoja na ndugu zake West Coast na wengine hapa.London na sehemu mbalimbali Bongo.

Mola ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amin
 
Poleni , mwanakijiji tunaomba source ya taarifa hiyo ya msiba tafadhali
 
Alhamdulillah, Innallillahi wa innalleihi rajioon...!​
 
Poleni sana wafiwa. Hayo ni mapenzi ya mungu na tumshukuru mungu kwa kila kitu.
 
poleni wafiwa kila mmoja njia ni hiyo hiyo. La muhimi ni kufanya matayarisho kwa ajili ya kifo maana kesho ni mwingine atafuata.
 
R.I.P....Ayubu Pole sana.

To Shy,...ukitaka source tuma namba ya simu utapewa text msg zinazozunguka.
 
ebwana hii imenivunja mbavu

Hatuvunjiki mbavu wakati wa taarifa za misiba. Na usidai "source" ya nani kasema.

Wafiwa poleni sana. Watoto wa marehemu Mzee Mfinanga, ndugu, jamaa na marafiki pateni nguvu katika kipindi hiki kigumu na mbeleni. Apumzike kwa amani.
 
Poleni sana wafiwa......Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
Amina.
 
Mwenyezi Mungu ampokee roho ya marehemu kwenye makao yake.
Poleni sana wafiwa.
 
Sote ni wa Mwenyenzi Mungu na marejeo ya wote ni kwake yeye Mwenyenzi Mungu.

Poleni wafiwa na msiba huu ni wetu sote watanzania tunakuombeni muwe na subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
 
ali mfinanga,sorry to hear this,but may the soul of your dad rest in peace,AMEN
 
Back
Top Bottom