commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
ukawa ni wafinyu wa uelewa wote ni kama waumwa parkinsons aliyeambiwa mpumbavu jana alikuwa sumaye kwa sababu mkapa alimuamini kwa miaka kumi kama waziri mkuu.nchi hii ilishakombolewa na wazee wetu wakiongozwa na mw. nyerere miaka dahali iliopita sasa anakuja mtu anasema anataka kutukomboa ni ukosefu wa akili tena narudia mpumbavu mkubwa
Rafiki yangu mmoja akasema "Mkuu wa Malofa ni Lodi Lofa". Basi kama huyu jamaa aliyewaita Watanzania "Malofa" alishakuwa rais wa hao Malofa, yeye mwenyewe ndiye Lodi Lofa, a.k.a. "LordLofa". Kwa wale mlowahi kusoma gazeti la Sani, basi mnazielewa tabia za Lodi Lofa. Hilo la "Wapumbavu" mtalitafuta wenyewe. Sina mengi ya kusema
Wenu Lofa mdogo
Aliposema neno malofa ikaja ile picha ya Lodi lofa nikamwona lofa mkuu alivyofanana na lofa wa gazeti la sani,tofauti ilikuwa kofia tu! Hakika nyani haoni kundule!!
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi.
Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha kijembe kwa wapinzani na kusema wanaosema wanatafuta ukombozi ni wapumbavu na malofa.
Kuna vyama vinajifanya vinataka kuleta ukombozi, ukombozi uliletwa na ASP na Tanu, hao wanaojiita vyama vya ukombozi ni wapumbavu, ni malofa, nchi hii ilikwisha kombolewa na sasa inaendelea kuiomboa kwa kupambana ana umasikini, ujinga na maradhi na ndo kazi imekuwa ikifanywa na serikali zote zilizopita kuanzia ile ya awamu ya kwanza na hii inayokuja itafanywa na serikali ya Dk. Magufuli, alisema.
Mzee niliyemzoea kwa hoja zenye mashiko na takwimu akageuka mlevi asiyejiheshimu.
Kweli ufalme wa CCM umefitinika.Kati ya mambo ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakiitofautisha brand ya CCM na Upinzani ni kule kutumia lugha zenye staha,kuhubiri amani na kuiishi.Jana rasmi CCM imevunja ndoa yake na sifa hizi.
Sasa tunaanza kupata picha tukimtazama Makonda, baadae Nape,Wasira,Kamani,Job Ndugai na sasa Mkapa tunaona CCM mpya inayozaliwa; brand ya ngumi,matusi na lugha za mihemko.
Mimi niwaambie tu,busara na hekima ni tunu ila ujinga hafundishwi mtu.Ni suala la kuamua tu!
Magufuli karibu UKAWA,you are a good manager but not a leader.
BURIANI CCM!
Wataalamu wa Sheria na Ustawi wa Jamii naomba mwongozo.Jana nilikuwa naangalia mkutano wa CCM na Binti yangu wa miaka 5. Katika malezi yake yake huwa tunamwongoza asitumie lugha ya matusi ,kejeli kuwa ni dhambi .Na wanaotumia lugha hiyo ni watu wa shetani ! Sasa jana wakati Rais Mstaafu akitokwa na povu na ile mitusi binti yangu alimpata vizuri sana .Huyu binti anawajua wanasiasa wa Tanzania Kuanzia Nyerere ,Mkapa na JK ,na sasa Pombe(ndivyo anavyopenda kumuita) na Lowasa ...amabaye kwake ni kila kitu! Na anawachukulia kama role modal wake ! Jana amefadhaishwa sana na Kkitendo cha Mkapa kutukana hadharani ! Na ameniambaia kuwa kwa kuwa Mkapa amelitumia neno hilo basi ni neno halalai na yeye ataanza kulitumia. Sasa sijui atatnza lini/
Kabla hajaanza naomba niombe Mwongozo wa Wataalmu je nina weza kumshtaki Rais Mstaafu kuwa ameniharibia bINTI YANGU KWA KUTUMIA LUGHA YA MATUSI ? SHERIA YA MTOTO INASEMAJE KATIAK KADHIA HII!
Mpumbavu maana yake ni mtu mwenye uelewa mdogo kuhusu jambo Fulani.Kabla ya kukurupuka na kupost malalamiko kuhusu usichokijua ni bora ungejibidisha kwa kutumia smartphone yako kutafuta maana ya "Neno Mpumbavu".......kama alivyosema mkapa inawezekana tupo wengi sana mitaani...Wataalamu wa Sheria na Ustawi wa Jamii naomba mwongozo.Jana nilikuwa naangalia mkutano wa CCM na Binti yangu wa miaka 5. Katika malezi yake yake huwa tunamwongoza asitumie lugha ya matusi ,kejeli kuwa ni dhambi .Na wanaotumia lugha hiyo ni watu wa shetani ! Sasa jana wakati Rais Mstaafu akitokwa na povu na ile mitusi binti yangu alimpata vizuri sana .Huyu binti anawajua wanasiasa wa Tanzania Kuanzia Nyerere ,Mkapa na JK ,na sasa Pombe(ndivyo anavyopenda kumuita) na Lowasa ...amabaye kwake ni kila kitu! Na anawachukulia kama role modal wake ! Jana amefadhaishwa sana na Kkitendo cha Mkapa kutukana hadharani ! Na ameniambaia kuwa kwa kuwa Mkapa amelitumia neno hilo basi ni neno halalai na yeye ataanza kulitumia. Sasa sijui atatnza lini/
Kabla hajaanza naomba niombe Mwongozo wa Wataalmu je nina weza kumshtaki Rais Mstaafu kuwa ameniharibia bINTI YANGU KWA KUTUMIA LUGHA YA MATUSI ? SHERIA YA MTOTO INASEMAJE KATIAK KADHIA HII!
mkuu hiyo picha kwenye avatar yako ndio malezi mazuri? sio kuwa nawewe unamdhalilisha huyo binti hapo, sioni tofauti yako na mkapa, na huenda wewe ndo
mpumbavu maana yake ni mtu mwenye uelewa mdogo kuhusu jambo fulani.kabla ya kukurupuka na kupost malalamiko kuhusu usichokijua ni bora ungejibidisha kwa kutumia smartphone yako kutafuta maana ya "neno mpumbavu".......kama alivyosema mkapa inawezekana tupo wengi sana mitaani...
ukawa ni wafinyu wa uelewa wote ni kama waumwa parkinsons aliyeambiwa mpumbavu jana alikuwa sumaye kwa sababu mkapa alimuamini kwa miaka kumi kama waziri mkuu.
na sumaye mwenyewe wakati akitamka kutia nia ya kuutaka urais kupitia ccm alisema wakimpitisha fisadi lowasa yeye atahama ccm sasa kulikoni kala matapishi yake kama sio upumbavu?