Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

malofa hawafi mapema
kufa hufi ila cha moto tunakiona
 
deni la taifa halikwepeki tena letu ni himilivu lakini matokeo si mnayaona? au nikuulize kitu kimoja hivi magu tangu ameingia madarakani hajafanya hata kimoja cha maana hebu niambie
Ndiyo
 
Mzee Mkapa hakukosea kabisa, nanukuu "wapinzani ni wapumbafu na malofa"
 
Kutoka kuitwa mafala na malofa mpaka kuitwa mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…