Jidanganye,palikua na link Kati ya zenji-tabora-kigoma-congo kitambo,pembe za ndovu etc
Kinapatikana wapi hiki kitabu? Bookshop gani?Ina...
Mbona historia ya Zanzibar na muungano imeandikwa na waandishi wengi na bado wapo?
Kitabu kipya ni hicho hapo chini cha Khamis Abdulla Ameir (2022).
Kitabu hiki kina kurasa 500+ na ameyachabua mapinduzi na muungano kwa undani kupita mwandishi yeyote yule.
View attachment 2180958
Wewe umechelewa kujua. Karume kazaliw Malawi mkuuJe waweza thibitisha hilo??---- Malawi na Zanzibar enzi hizo kijiografia na kidemografia mbona ilikuwa kinyume sana!!!😱
Sina taarifa.Kinapatikana wapi hiki kitabu? Bookshop gani?
Wewe umechelewa kujua. Karume kazaliw Malawi mkuu
Ndiyo kwanza nikusikie wewe kama Karume alikuwa Mmanyema, sisi tumesoma alikuwa Mnyasa na hata watu waliokuwa wanamjua kwao Mwera alipofikia hawajawahi kusema alikuwa Mmanyema. Hata akina Amani Karume walipelekwa kwao Malawi kwa muda fulani na sio Kigoma.Sio kweli, Karume ni jina lenye asili ya Wamanyema, Majina hayo yanapatikana sana Kigoma miongoni mwa Wamanyema, Kigoma ndio lango la wamanyema kuingia Tanganyika kutoka Masharikk ya DRC, kutoka Kigoma wakaingia Tabora hadi Dar na Zanzibar.
Umewahi kusikia kwamba Karume aliwahi kupelekwa mahakamani kwa vile yeye kiasilia hakuwa raia wa Zanzibar alikuwa raia wa Malawi? Ukumbuke Malawi, Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa chini ya mtawala mmoja Muingereza.Je waweza thibitisha hilo??---- Malawi na Zanzibar enzi hizo kijiografia na kidemografia mbona ilikuwa kinyume sana!!!😱
Karume alikuja Zanzibar akiwa mgongoni kwa mama yake, yaani bado ni mchanga kabisa. Maisha yake yote ameishi Zanzibar. Hapo zamani mke wake akielezea hiyo hadithi kwenye TVZ.Siwezi kukataa kama nimechelewa lakini pia siwezi kukubali kirahisi bila kupata angalau ushahidi mdogo wa kihistoria kuthibitisha kwamba Karume alitokea Malawi, ilikuaje atoke malawi kuja kuanzisha makao zanzibar??, je alikuja kufanya biashara na biashara gani au kutafuta ajira nk.
Ni historia ndio mfafanuzi wa jambo hilo.
Karume alikuja Zanzibar akiwa mgongoni kwa mama yake, yaani bado ni mchanga kabisa. Maisha yake yote ameishi Zanzibar. Hapo zamani mke wake akielezea hiyo hadithi kwenye TVZ.
Kwamba watu hawakuwa wakitembea!!?..na Congo na Malawi ni mbaali saana,wakati Mambo yalipokuwa hayaeleweki zenji,amani karume na mdogo wake walipelekwa nyasa/Malawi..kwa mujibu wa amani mwenyewe,na darasani anasema Kuna mwalimu alikua alimwambia baba yenu atauawa,kwa nini wapelekwe Malawi na si Kenya au bara!?...Mimi nasema; kama kulikuwa na link, zenji---Tabora---Kigoma---Congo kwa ajili ya biashara ya pembe za ndovu, na mimi nakubali hiyo link na ndio link hiyo iliyowatoa Wamanyema kutoka huko Congo au Kigoma kuingia Tabora---Dar---Zenji, sasa naomba link ya Malawi---Zenji.
Kwamba watu hawakuwa wakitembea!!?..na Congo na Malawi ni mbaali saana,wakati Mambo yalipokuwa hayaeleweki zenji,amani karume na mdogo wake walipelekwa nyasa/Malawi..kwa mujibu wa amani mwenyewe,na darasani anasema Kuna mwalimu alikua alimwambia baba yenu atauawa,kwa nini wapelekwe Malawi na si Kenya au bara!?...
Ndiyo kwanza nikusikie wewe kama Karume alikuwa Mmanyema, sisi tumesoma alikuwa Mnyasa na hata watu waliokuwa wanamjua kwao Mwera alipofikia hawajawahi kusema alikuwa Mmanyema. Hata akina Amani Karume walipelekwa kwao Malawi kwa muda fulani na sio Kigoma.
Zanzibar wapo Wamanyema wengi sana wala isingekuwa issue kusema Karume alikuwa ni Mmanyema.
Dah,tnachoshana tu jamaa yanguWangepelekwa Kenya si nyie mngesema wao ni Wakenya!!!
Dah,tnachoshana tu jamaa yangu
Hapo sina uhakika wa hilo.Asante kwa historia hiyo.
Kuna mtu mmoja humu kasema karume alilelewa na mmanyema huko Zenji na ndio sababu ya yeye kupata jina hilo, je kuna ukweli hapo??!
Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru
hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes.
Mganda Mkristo John Okello huwezi kukuta ametajwa kwenye waasisi wa mapinduzi.
Mzee Mohamed Said mbona huandiki mambo haya? Kila siku wewe ni Nyerere na wazee wa kariakoo tu?
Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.Rejea za Mwandishi huyu kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Na prefect aliyekabidhiwa watoto wa Karume shuleni anaitwq Banda. Ni mzee sasa na anaishi Stockholm.Kwamba watu hawakuwa wakitembea!!?..na Congo na Malawi ni mbaali saana,wakati Mambo yalipokuwa hayaeleweki zenji,amani karume na mdogo wake walipelekwa nyasa/Malawi..kwa mujibu wa amani mwenyewe,na darasani anasema Kuna mwalimu alikua alimwambia baba yenu atauawa,kwa nini wapelekwe Malawi na si Kenya au bara!?...