"Mzee Moi" anawakaribisha chakula ya kule kwetu IRINGA

Mila za watu hizo jamani. Heshima mbele tafadhali.

Hivi imagine ndo una wife ametokea mitaa hiyo..jioni unatoka kibaruani unakuta maama ndo anaanda hiyo mboga....what will be your reaction? Taking into account wewe ni mtu wa Sengerema ambako hiyo hadithi hujawahi kuisikia kabisa...?
 
Duh! hata mi nilifikiri utani kumbe!!.....................
 
Mkuu sasa unatafuta kesi,hawa jamaa huwa wanakataa kutumia hii kitu na wewe umewawekea na evidensi?
Haya bwana wakienda kujiua na hasira zao sijui utamjibu nini mheshimiwa hakimu?

Kwani ni wapi hasa ambapo wameandika kwamba jambo hili linatokea au kutendeka Iringa?? Acheni hizo kashfa zenu!!
 
Eheee kumbe hata paka wanakula tobaaa

Haka!! Hayo makuti huyaoni, huwa kuna makuti Iringa??

Huo udongo wa mchanga mweupo hapo chini kwa nini tusingiziane?? Watu wakupikia jiko la kuni kwa kutumia vipande vya mbao zilizobakia kwenye ujenzi huku Ma-Pwanipwani hamwajui??

Kwa nguo chakavu za kimasikini masikini hapo kidogo tumefanana hata nyumbani Kinyanambo tunao lakini huo unene wa kibwegebwege aliyonayo huyu baba hapa hatuna jamani.

Mikoa inayofuga sana PAKA hamyajui jaama, tusisingiziane tafadhali. Waacheni wenye paka zao wakale salama bila kusingiziana.
 


Aisee nimekusoma kweli bana hii picha ni Bagamoyo au Tanga hakuna ubishi beeeh
 
Nimepata taarifa kuwa hii ni tiba na sio mlo....msijemeza mimate buree!!!!!!
 
Halafu kule kinyanambo sikumbuki kuona nyumba inajengwa tofali za dizaini hiyo! Nakumbuka ni nyumba za udongo au tofali za udongo.
 
Kwani nani kakuambia huyu mzee yuko wapi? Mtu hata kama yupo Bwagamoyo mila yake yeye nadumisha si unajua wanyalukolo
Mwajaribu kupotosha hata ule uzushi ambao umezoeleka, wanayalu wanazushiwa kula mbwa na sio paka Mkuu.
 
iringa ya wapi hiyo jamani watu wanakula paka? sijawai ona na mimi nimeishi sana iringa/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…