Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yanga haitatoboaHuo uchafu nao ni wa kuusikiliza kweli?
Tunataka ujitose kwenye majiShabiki wa Klabu ya Yanga, Mzee Mpili amesema kuwa wanaotaka kuandamana Oct 29,2025 wanatafuta Matatizo
Mzee Mpili ameyasema hayo Leo Oktoba 20,2025 katika uwanja wa Ujamaa Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu
Mzee Mpili amesema kuwa watu hao wanaotaka kufanya maandamano hawana shukrani kwani Serikali imefanya vitu Bora vya Maendeleo Kwa wananchi.
That’s what John Lewis (American civil rights leader and congressman) called “good trouble”! Huyu kiazi hawezi kulijua hili.Shabiki wa Klabu ya Yanga, Mzee Mpili amesema kuwa wanaotaka kuandamana Oct 29,2025 wanatafuta Matatizo