Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Hawa madereva wa daladala yaani huwa akili zao wanazijua wao wenyewe sijui huwa ni bangi wanakuwa wameishapuliza asubuhi
 
Duh! Kweli siku ikipita unamshukuru MUNGU mwenye uwezo wa kuepusha hata majanga 2sioyajua yaliyo mbele ye2 kila wakati. Tuna haja ya kumtaja kila wakati hata humu jamvini tufarijiane kwa kila hali tuliyonayo wajameni. Mpe pole ze2 nyingi sana na bila shaka MUNGU mwenye uweza wa yote atamrejeshea nguvu na tutaendelea ktk ujenzi wa Taifa ambalo magamba wanataka kulimalizia. Mpe pole zangu nyingi na nitamweka ktk IBADA.
 
Amin,salam zimefika.
 
Pole Mtambuzi, nakutakia kupona kwa haraka...poleni familia!
 
Polen sana sana mungu awape subila pia amponye na amjalie afya njema
 
Dah napiga pole sana kwake....mungu amjalie apone haraka
 
Pole sana mzee wetu mzee mtambuzi.pole sana,tunakuombea Mungu akuponye mapema.
 
Pole sana Mzee Mtambuzi.. Pona hara.... tunakuhitaji na familiani...
 
...get well soon mtambuzi, dahhh...
cantalisia asante sana kwa taarifa.
 
Hawa madereva wa daladala yaani huwa akili zao wanazijua wao wenyewe sijui huwa ni bangi wanakuwa wameishapuliza asubuhi

mkuu sio bangi bali ni pilika ili akamilishe hesabu ya tajiri mapema yaani target yao inakuwa mpaka sa10 ya boss iwe tayari na baada ya hapo inatafutwa ya kwao
 
Pole sana Mzee Mtambuzi na familia yako.
Mungu akubariki utibiwe haraka, akuponye na akurudishe katika harakati zako za kila siku ktk Ujenzi wa Taifa.
Tunakuombea kila la heri
 
Pole baba Mtambuzi, Mungu akupe faraja katika wakati huu mgumu wa ajali, pia akujalie kupona haraka.

Pole dada Cantalisia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…