Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

Status
Not open for further replies.
Poleni sana na Mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na kurudia hali yake ya awali.
 
Hii habari imenisikitisha.... Naomba nijibu PM ASAP....
 
poleni.Mungu yupo pamoja nanyi wote.amina.
 
Cantalisia vipi maendeleo....
Ni kwamba majibu ya x- ray yametoka na amevunjia vibaya mfupa wa mkono sehemu ya karibu kiganjana ana maumivu makali sana ya huo mkono na kifuan,kwa sasa amelazwa hapo regency anasubiriwa daktari wa mifupa kutoka muhimbuli ndio aje adeal na hiyo kesi yake.
 
Dah!!! Pole sana mtambuzi tuzidi kumuombea ili Mungu amjalie apate nafuu na hatimaye apone kabisa
 
Nampa pole sana. MWENYEZI MUNGU AMLINDE.
 
pole sana mwana jf mwenzetu,Mungu atakusaidia utapona na kurejea katika hali ya kawaida
 
Mpe pole mzee mwambie tunamuombea Mungu,asante kwa kutujulisha shosti.
 
Kwa taarifa za mda huu Mzee mtambuzi amehamishiwa Agakhan kutokana na maumivu makali aliyonayo kwan tangu amefika Hapo regency hakupata huduma yoyote hata dawa ya kupunguza maumivu hawakumpa pamoja na kulalamika kuwa nanjisikia maumivu makali kifuan, wamemfanyia kipimo cha x-ray tu,anatarajia kufanyiwa upasuaji wa mkono sehemu iliyovunjika baada ya daktari kutoka muhimbili kufika!
 
pole sana mzee wangu. Mungu akulinde kipendi hiki cha matatizo. Pole sana mkuu.
 

Mungu AMPONYE haraka....
 
Asante kwa taarifa Canta na tunaomba Mungu amponye haraka na ampunguzie maumivu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…