Mzee Mwanakijiji uko wapi?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Kwa kweli sijui kama ni Mzee kweli lakini hapa JF ni mtu ambaye amekuwa akitupa mchanganuo mzuri kuhusu masuala ya siasa.Uchambuzi wake kama kawaida kuna wakati ulikuwa unakera watu na kuna wakati uliwafurahisha wengi.

Kwa hoja zilizokuwa zinatolewa hapa inaelekea Mwanakijiji haishi ndani ya nchi ingawa ni Mtanzania.

Naamini ya kuwa katika kipindi hiki ambacho wengi tumejawa na uoga wa kuandika tunachokiamini angeweza kutusaidia kutupatia uchambuzi na kupunguza kutegemea twitter ambapo machapisho huwa mafupi.
Karibu Mwanakijiji na tuanze na haya,
  1. Uchaguzi
  2. Bunge
  3. Mustakabali wa demokrasia
 
Kwisha habari yake.
Mzee Mwanakijiji na Pasco kwa sasa ni sawa na wale vijana wa CCM Lumumba wanaolipwa buku saba kwa siku ili kufanya propaganda mitandaoni.
Wameshokwa mnoo humu JF.
 
Kwanini unadhani hao unaowaita wenye uelewa mpana hawaishi nchini?
 
Anaona aibu kwa namna chama chake kilivyopata ushindi.

Muache ajifiche tu, ndio ustaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…