Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo.
Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli yasiyopungua siyo 4 watakapokutana na watani wao mechi ijayo.
Kaongezea ni ngumu sana kuivunja Kanuni hiyo ya Asili na ikitokea hivyo basi madhara yake kwa binadamu kwa uzoefu huwa ni makubwa.
Kaondoka Mzee huyo bila kuaga baada ya kulipia chai aliyokunywa akituacha vinywa wazi.
Tulitamani tumuulize Kanuni ya Asili aloigusia ni ipi hasa na ina tofauti gani na ile ya kwenye fizikia tulofundishwa darasani.
Wenye hekima mtujuze.
Niwatakie mchana mwema.