Akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani Enzi hizo Mzee ali Hassan Mwinyi aliwahi kujiuzulu ili apishe uchunguzi kutokana na askari kuua watu huko mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa tuhuma za ushirikina. Ila Mawaziri wa sasa - mwangalie Dk. Mwigulu - huwa hata tuhuma zikihusu Taasisi zao wao wanacheka cheka tu! Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Sasa Komredi Majaliwa nawe nimekushangaa sana - why uwaendee watendaji wa kule chini kabisa ukimwacha Waziri na Katibu Mkuu wake? Au ndiyo hayo yale maonjo ya Mwendazake bado yanawasumbua - yaani tu uonekana umetumbua ili ujenge CV yako tayari kwa 2025 au 2030? Unaujua ukweli?
Lakini Hazina ukijumlisha na sub-treasury ina wafanyakazi wengi sana (lets say wapo 600-800) - sasa hao wote wakilipwa allowance ya shilingi laki tano unafikiri itakuwa ni shilingi ngapi?
Nyie viongozi wa kisiasa mmezoea sana kuonea watendaji ambao hawateuliwi na ninyi! Acheni basi kuumiza hivyo - mnaumiza sana yaani - imekuwa ni vita ya wanasiasa na watendaji - why asilengwe Waziri? Au kwa sababu anabebwa na kura za wananchi? Why asiwe Katibu Mkuu?
Basi hawa watendaji ni wanyonge hawana pa kuchongea? Isitoshe wana issues nyingi sana (kutothibitishwa, malimbikizo ya salaries, kutopandiswa vyeo, kunyimwa safari, kutothaminiwa wakifiwa, kucheleweshewa pensheni, kufokewa n.k). Masimango imekuwa ni kwao tu hawa watu. Wabunge na Mawaziri mishahara miNONO na marupurupu kibao wakati kazi yao ni kugombeza nakusimamisha watumishi tu. Tubadilike!
Inatosha sana sana!