Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Magheto na uharibifu wa mji wa Dar ulianzishwa na Rais wa awamu ya pili Ali Mwinyi.
Rais Mwinyi ndiye aliyeruhusu fukwe zetu kuvamiwa kwa kuruhusu hoteli kujengwa beach kinyume na sheria zetu za 50 meters ktk ufukweni, Rais Mwinyi aliruhusu white sands hotel kujengwa kinyume na sheria, aliruhusu sheraton hotel kujengwa kwenye eneo la wazi, aliruhusu Loliondo kugawiwa kwa foreigners.
Mwinyi alifungua pandora box la uharibifu wa mipango miji yetu, sasa hivi ni ngumu sana kurekebisha, I mean, unawezaje kuzuia hoteli kujengwa ufukweni wakati nyingine zimeshajengwa ?
Kabla ya Mwinyi kuwa Rais, Dar na miji mingine karibia yote nyumba zilikuwa na namba na mitaa iliyojulikana, nakumbuka ulikuwa ukichukuwa taxi unamwambia taxi driver nakwenda mtaa fulani nyuma namba fulani na alikufikisha, mpaka urais wa Mwinyi alipoharibu kila kitu sasa hivi ni mambo ya alama tu nishushe karibia sijui na shule au jengo fulani.