What constitute the intersept between the two make a very interesting story of their era in the helm and their honored "doctorates". Who honored Mwinyi? Am just curious cause Am just learning about that here.Ndugu zangu,baada ya Mzee mwinyi kukamata nondo watu wanasema sana, lakini tuwe waungwana mzee huyu na JK kwa kuongoza tu taifa wanastahili kutunikiwa degree hizo. Hiyo ni kutokana na majukumu yao na challenge walizopata katika uongozi,hiyo ni halali yao watu wasibeze eti za kupewa ipi sio ya kupewa.
Ndugu zangu,baada ya Mzee mwinyi kukamata nondo watu wanasema sana, lakini tuwe waungwana mzee huyu na JK kwa kuongoza tu taifa wanastahili kutunikiwa degree hizo. Hiyo ni kutokana na majukumu yao na challenge walizopata katika uongozi,hiyo ni halali yao watu wasibeze eti za kupewa ipi sio ya kupewa.