Mzee Mwinyi ni mwenyeji wa Mkuranga ila alipelekwa Zanzibar kujifunza Dini ya Kiislamu na baadaye akawa Rais wa Nchi hiyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nipo naendelea Kusoma Kitabu cha Maisha ya Rais niliyemkubali sana Mpendwa Wetu mzee Mwinyi Ruksa

Mwinyi alipelekwa Zanzibar kujifunza Dini ya Kiislamu na akiwa huko Mungu wa mbinguni akambariki na kumfanya kuwa Rais wa Tatu wa Nchi hiyo

Ikumbukwe kuwa hata Ukristo uliingia kupitia Zanzibar iwe Catholic au anglo-catholic

Hata Mchungaji Karl Peters wa KKKT aliingilia Zanzibar

Kumbe Zanzibar ni mlango wa Imani

Bado nasoma.
 
Sheria za Zanzibar zinaruhusu ukiishi miaka 5 mfululizo unaweza kuomba na kupewa kitambulisho cha mzanzibar mkazi na kuruhusiwa kugombea nafasi za uongozi.
 
Nirushie basi kwenye PDF,me Niko nacho cha Reginald Mengi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…