Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

Where is mali ya mungu now
 
Hahaha alimuuliza malecera,moja jumlisha moja ni ngapi?akajibiwa mbili,akamwambia sasa wewe hiyo serikali tatu unazitoa wapi?
Malecela naye alikuwa mweupe kichwani, ilipaswa naye ambandike swali, simenti ukichanganya na maji unapata nini? Najua kichwa maji nyerere angejibu unapata tofali, so naye angemuuliza mbona haijawa majisimenti? Kifupi swali la nyerere halikuwa na logic kabisa.
 
Bila Nyerere kuingilia Kati,

Mwinyi alikua anakwenda na maji.
 
Na hii hii tanganyika iliondoka nae asubuhi na mapema kwenye ajali ambao eri mtu kafa yeye tuu na tai yake shingoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama Samia yeye ataandika kitabu akistaafu ndan yake atasema NAJILAUMU KWA KUMUACHIA NDUGAI KUWAKUMBATIA COVD19
Huwa wanangoja wastaafu ndio wajifanye wanajutia yale waliyoyafanya .

Subiri kitabu Cha msoga king utaelewa tu
 
Mtikila alikuwa na Mengi mazuri ila alikuwa na harufu ya Ubaguzi (kitu ambacho kikishaingia katika jamii kutoka ni kazi sana)..., Huyu ndio alileta mambo ya wazawa na wangambachori (Karne ya sasa kuleta usisi na uwao) ni fikra duni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…