Ila kwa huyu jamaa hata akicheza ivo sawa tu maana hata nchi yake huwezi fananisha na yetu ila mkwere anakuchezea kiduku na umeme hakuna.si balaa hiyo?
hapo zuma was dancing to his famous style umsholozi! hapo si kainama akiinuka anarusha mguu juu ile style ya kizulu hahaa jamaa ananikosha sana. ila sauzi nao wameingia mkenge km sisi tu hapa bongo jamaa toka aingie madarakani huko sauzi ni migomo kwa kwenda mbele. hawatofautiani na jk wote ni wasanii