Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
.....Na mimi ningelia baba watatu.Teh! teh!! tehhhhh!!!Babu wa miaka sabini na tano aliamua kuoa binti wa miaka kumi na tano,usiku baada ya ndoa kupita wote wakawa wanalia chumbani,binti analia hajui kitu na babu analia keshasahau kila kitu.Unaona kazi hiyo,wewe ungefanya nini?
Pangegeuka kama msiba nami ningeanza kulia kwasababu nimekuta wote wawili wakilia
Tatizo si kulia,tatizo ni pale utakapouliza kuna tatizo gani,ndo umeambiwa unawasaidiaje.Naamini usemaovyo wako hapa unaweza kusaidia.Sijui Dadaangu naima yuko wapi,sijui hapa angesema nini.
Mbona rahisi mdogo wangu .. unaleta vitu vifuatavyo .. tena vinapatikana hapo hapo nyumbani .. kwanza kijiko na kikombe, kinu na mtwangio, mswaki kama upo, sefuria na mwiko ... eeh mbona vingi .. uzi na sindano na kipande cha nguo... naona mpaka hapo unafanya practicals bila kuvunja heshima .... na wote wataelewa kwani vyote vinaendana na kufanyakazi kwa pamoja ... si unajua tena kakaake kijiko lazima kikoroge chai kwenye kikombe .. mswaki lazima uingie sijui wapi .. mengine malizia wewe ...
Dada Naima ni ushauri mzuri umetoa hapo juu, lakini hawa watoto wa sasa na uvujaji wa mitihani niwagumu kidogo kuelewa, wanapenda kufanuniwa kisha wameze.
Sasa dada yao itabidi uwatafunie...sasa sijui utatafuna na huyo babu kizee au na shemeji yetu.?
Hapa kuna kazi kidogo.
Babu wa miaka sabini na tano aliamua kuoa binti wa miaka kumi na tano,usiku baada ya ndoa kupita wote wakawa wanalia chumbani,binti analia hajui kitu na babu analia keshasahau kila kitu.Unaona kazi hiyo,wewe ungefanya nini?
Babu wa miaka sabini na tano aliamua kuoa binti wa miaka kumi na tano,usiku baada ya ndoa kupita wote wakawa wanalia chumbani,binti analia hajui kitu na babu analia keshasahau kila kitu.Unaona kazi hiyo,wewe ungefanya nini?