Mzee ngurumo yuko wapi?

Mzee ngurumo yuko wapi?

Ticha

Senior Member
Joined
Aug 26, 2007
Posts
135
Reaction score
8
Ni muda mrefu sasa sijasikia kazi mpya za OTTU,Wako wapi? au wamefulia?
 
Alipokuwa Sikinde miaka hiyo ya 80s' ndo aliimba nyimbo kali.
 
Kuna kupanda na kushuka mzee. Ngurumo alishaonekana akijichanganya na vijana wa kizazi kipya, akiwa anazo nguvu za kumtosha.
 
Ubaya ulianza zamani,
Wakati ningali mdogo,
Haya unayoyafanya kaka,
Si mageni hapa ulimwenguni

His best verse....at Sikinde in 1980

Hawa Jamaa bana nyimbo zao tamu sana. Tufurahi leo tufurahi na wana sikinde, tucheze leo ngoma ya ukae, Ukitaka tufurahi kila jumamosi njoo uburudike na wana SIKINDE OYEEE. ABEl Mulenga, Mwanyiro na Gama aaaaaaaaaggh jamaa walikuwa balaa tupu
 
Ila nadhani Ukitoka ushindani wa Yanga na SImba wakati ule, uliofuatia ni wa SIKINDE NA MSONDO.
 
Ni Gurumo(Muhidin Maalim Mohammed Gurumo).....na si Ngurumo(for the record).....Hili Ngurumo ni jina lingine kabisa...mfano Ansbert Ngurumo n.k
 
Back
Top Bottom