Ticha Senior Member Joined Aug 26, 2007 Posts 135 Reaction score 8 Apr 21, 2010 #1 Ni muda mrefu sasa sijasikia kazi mpya za OTTU,Wako wapi? au wamefulia?
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Apr 21, 2010 #2 Alipokuwa Sikinde miaka hiyo ya 80s' ndo aliimba nyimbo kali.
Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 579 Apr 21, 2010 #3 Kuna kupanda na kushuka mzee. Ngurumo alishaonekana akijichanganya na vijana wa kizazi kipya, akiwa anazo nguvu za kumtosha.
Kuna kupanda na kushuka mzee. Ngurumo alishaonekana akijichanganya na vijana wa kizazi kipya, akiwa anazo nguvu za kumtosha.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Apr 21, 2010 #4 Chimunguru said: Alipokuwa Sikinde miaka hiyo ya 80s' ndo aliimba nyimbo kali. Click to expand... Ubaya ulianza zamani, Wakati ningali mdogo, Haya unayoyafanya kaka, Si mageni hapa ulimwenguni His best verse....at Sikinde in 1980
Chimunguru said: Alipokuwa Sikinde miaka hiyo ya 80s' ndo aliimba nyimbo kali. Click to expand... Ubaya ulianza zamani, Wakati ningali mdogo, Haya unayoyafanya kaka, Si mageni hapa ulimwenguni His best verse....at Sikinde in 1980
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Apr 21, 2010 #5 Safari_ni_Safari said: Ubaya ulianza zamani, Wakati ningali mdogo, Haya unayoyafanya kaka, Si mageni hapa ulimwenguni His best verse....at Sikinde in 1980 Click to expand... Hawa Jamaa bana nyimbo zao tamu sana. Tufurahi leo tufurahi na wana sikinde, tucheze leo ngoma ya ukae, Ukitaka tufurahi kila jumamosi njoo uburudike na wana SIKINDE OYEEE. ABEl Mulenga, Mwanyiro na Gama aaaaaaaaaggh jamaa walikuwa balaa tupu
Safari_ni_Safari said: Ubaya ulianza zamani, Wakati ningali mdogo, Haya unayoyafanya kaka, Si mageni hapa ulimwenguni His best verse....at Sikinde in 1980 Click to expand... Hawa Jamaa bana nyimbo zao tamu sana. Tufurahi leo tufurahi na wana sikinde, tucheze leo ngoma ya ukae, Ukitaka tufurahi kila jumamosi njoo uburudike na wana SIKINDE OYEEE. ABEl Mulenga, Mwanyiro na Gama aaaaaaaaaggh jamaa walikuwa balaa tupu
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Apr 21, 2010 #6 Ila nadhani Ukitoka ushindani wa Yanga na SImba wakati ule, uliofuatia ni wa SIKINDE NA MSONDO.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Apr 21, 2010 #7 Ni Gurumo(Muhidin Maalim Mohammed Gurumo).....na si Ngurumo(for the record).....Hili Ngurumo ni jina lingine kabisa...mfano Ansbert Ngurumo n.k
Ni Gurumo(Muhidin Maalim Mohammed Gurumo).....na si Ngurumo(for the record).....Hili Ngurumo ni jina lingine kabisa...mfano Ansbert Ngurumo n.k